Zijue hapa mechi tano za kila timu kati ya Al ahly tripoli zidi ya Simba Sports Club katika ligi la nyumbani na mechi za kirafiki:
Pia mechi hi ya Leo ya kombe l shirikisho itachezeka katika uwanja wa nyumbani wa Al ahly tripoli ambao unaitwa Tripoli international stadium wenye uwezo wa kuingiza wachezaji erfu hamsini (50000).