Kiungo ambaye anaweza kukabiliana na pressing ya 4-3-3 au 4-2-3-1 ambazo ni narrow / wide , anakipiga pale Msimbazi na anakabiliana vipi ?A: Silaha / Suluhisho yake ni kuepuka ule mstari wa presha wa timu pinzani ( mstari wa washambuliaji ) , anajua kusoma hatua hii sana ( read the game well )B: Kupitia pembeni + anakuwa kiungo ambaye ni hodari kucheza / kukabiliana na mstari wa mwisho wa mpinzani ( himself )Ndio maana namuulizia Debora Fernandez kama mmenionea huyu kijana kutoka Angola ? ambaye ana uwezo mzuri wa kukabiliana na pressing hizo mbili kwa ustadi wa hali ya juu sana , kutokana na nini ?1: Uwezo wake wa kuutumia mwili wake kunyumbulika na kutunza mali ( dribber zaidi ) , unaweza kutumia hivyo2: Choices za pasi zake3: Mchezaji ambaye anakubali kuhesabiwa pale ambapo inahitajikaHapo mbele yake ameshapata kiungo ambaye yupo comfortable na kupokea mpira mbele ya kiungo cha timu pinzani ( Jean Charles Ahoua ) , kwanini ? Kuwatoa opponents katika position zao ili kufungua spaces na wenzake kutafuna spaces zilizo wazi.