Kesi ya kagoma iko hivi


Endapo ikabainika ni kweli Kiungo Yusuph Kagoma alisaini kandarasi vilabu viwili kwa maana Young Africans na Simba Sc basi atafungiwa kucheza soka kwa Miaka Miwili (2),


Kwasasa kiungo huyo amesimamishwa kuitumikia klab yake yasasa ya Simba huku suala lake likifanyiwa kazi,

Shauri lililopo kwasasa ni Juu ya klab ya Yanga, wanasema wanamkataba nae huku Simba ndio klab anayoitumikia sasa,

Yusuph Kagoma akiwa na klab yake ya Mpya ya Simba ameshaitumikia katika Michezo Miwili ya ligi kuu Tanzania bara (NBCligi kuu Tanzania bara NBC). 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items

contact us