Klabu ya Yanga yawasili Ethiopia kwaajili ya kupambana na CBE SA

Timu ya Wananchi, Yanga imewasili nchini Ethiopia ambapo inatarajiwa kushuka dimbani kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya CBE SA.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items

contact us