MATOKEO CBE SA VS YOUNG AFRICANS, MCHEZO WA KWANZA KUWANIA KUFUZU MAKUNDI CAF CHAMPIONS LEAGUE 2024/2025
Katika matokeo haya goli la pekee lilifungwa na mchezaji wa yanga Prince Dube 9, katika dakika za 45 kipindi cha kwanza, na kipindi cha pili milango ikawa migumu kupelekea mechi Ä·uisha kwa goli 1 kwa 0.