Maana ya 1, 1X, 2, X2, 12 kwenye Betting

1 kwenye betting 1 inasimama kama Home/Timu ya nyumbani. Kwa kuweka 1 hapa tunatabiri timu ya nyumbani kushinda.
X kwenye betting X inasimama kama Draw/Suluhu. Kwa kuweka X hapa tunatabiri hiyo match kutoa droo.
2 kwenye betting 2 inasimama kama Away/Timu ya ugenini. Kwa kuweka 2 hapa tunatabiri timu ya ugenini kushinda.
1X kwenye betting 1X inasimama kama Double Chance Home/Draw. Kwa kuweka 1X hapa tunatabiri timu ya nyumbani kushinda au kutoa droo. Ikishinda mkeka wetu umetiki, pia ikitoa droo mkeka wetu umetiki.
X2 kwenye betting X2 inasimama kama Double Chance Draw/Away. Kwa kuweka X2 hapa tunatabiri timu ya ugenini kutoa droo au kushinda. Ugenini akishinda mkeka wetu umetiki, pia akitoa droo mkeka wetu umetiki.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items

contact us