Maana ya 1st Half Multigoals
Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa kipindi cha kwanza.
- 1st Half Multigoals: 1 - 2 Hapa tunatabiri lifungwe goli moja au mawili kipindi cha kwanza. Yakizidi mawili tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 0:1 na 0: 2
- 1st Half Multigoals: 1 - 3 Hapa tunatabiri lifungwe goli mpaka matatu kipindi cha kwanza. Yakizidi matatu tumepoteza. Mkeka wetu utakuwa umetiki yakitokea matokeo yafuatayo kipindi cha kwanza, 1:0, 1:1, 2:0, 3:0, 2:1 0:1, 0: 2, 1:2 na 0:3