Maana ya BTS, GG na NG kwenye Betting

Hapa tunataabiri iwapo kwenye hii match pande zote mbili zitafungana ama la!

GG kwenye betting GG inasimama kama Yes, Kwa kuweka GG hapa tunatabiri pande zote zitafungana. Mfano wa matokeo ya GG ni: 1:1, 2:1, 2:2, 3:1, 3:2, 3:3, 1:2, 1:3, 2:3 n.k.
BTS BTS na GG ni kitu kimoja, inasimama kama Both Teams To Score? - Yes, Kwa kuweka BTS hapa tunatabiri pande zote zitafungana. Mfano wa matokeo ya GG ni: 1:1, 2:1, 2:2, 3:1, 3:2, 3:3, 1:2, 1:3, 2:3 n.k.
NG kwenye betting NG inasimama kama No, Kwa kuweka NG hapa tunatabiri hawatafungana au pande moja ndo itafunga tu. Mfano wa matokeo ya NG ni: 0:0, 1:0, 2:0, 3:0, 0:1, 0:2, 0:3 n.k.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items

contact us