Maana ya Total Goal Rangess


Maana ya Total Goal Rangess

Hapa tunatabiri idadi ya magoli yatakayofungwa na teams zote ndani ya dakika 90+ za mchezo.

  • Total Goal Rangess: 2 - 4 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi manne, mfano: 1:1, 2:0, 2:1, 2:2, 3:0, 3:1, 0:2, 1:2, 0:3, 1:3, 0:4. Jumla ya magoli yakizidi manne tumepoteza.
  • Total Goal Rangess: 2 - 5 Hapa tunatabiri jumla ya magoli yote kwenye match yachezee kwenye range ya mawili hadi matano. Jumla ya magoli yakizidi matano tumepoteza

Post a Comment

Previous Post Next Post

Popular Items

contact us