Matokeo ya Darasa la Saba PSLE 2025-26

Unatafuta Matokeo ya Darasa la Saba PSLE 2025-26? Matokeo sasa yametolewa na hizi hata hatua jinsi ya kuangalia moja kwa moja kupitia tovuti ya NECTA www.necta.go.tz mkoa wilaya shule ya msingi shule zote Tanzania.

NECTA (Baraza la Mitihani la Tanzania) ndilo linalosimamia mitihani yote ya kitaifa, ikiwemo Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE). Mtihani huu ni muhimu sana kwa wanafunzi wa darasa la saba kwani matokeo yake ndiyo yanayoamua safari ya elimu ya sekondari.

Ili kuangalia matokeo ya darasa la saba 2025, fuata hatua hizi rahisi:

  1. Nenda kwenye tovuti ya NECTA www.necta.go.tz
  2. Tafuta sehemu ya habari mpya upande wa kulia wa ukurasa.
  3. Bonyeza link ya PSLE 2025 Matokeo ya Darasa la Saba.
  4. Au nenda moja kwa moja https://www.necta.go.tz/results/view/psle
  5. Chagua jina la mkoa wako (Mfano: Mwanza).
  6. Kisha chagua jina la wilaya na shule yako.
  7. Matokeo ya shule yako yatafunguka.
  8. Tafuta jina lako au namba ya mtahiniwa.
  9. Angalia masomo na alama zako.

Angalia hapa matokeo darasa la saba 2025

Soma zaidi: Matokeo ya Usaili Biharamulo 2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.